Skip to main content

Posts

Showing posts from December 6, 2016

MSD YAZINDUA HUDUMA MAALUMU KWA WATEJA WAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee naWatoto Dk. Mpoki Ulisubisya (kulia), akizungumza na viongozi mbalimbali wa sekta ya afya wakati akizindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wakubwa Dar es Salaam leo asubuhi. Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo.  Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD, Salome Malamia akizungumza katika hafla hiyo. Mmoja wa maofisa kutoka Ofisi ya Inayosimamia Utekelezaji wa Mapendekezo ya Maboresho (SMO), Naomi Shangani akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusu mpango huo. Na Dotto Mwaibale BOHARI ya dawa (MSD) imezindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wake wakubwa, kama moja ya hatua za kuboresha huduma kwa wateja.  Mpango huo utawawezesha wateja hao kupata huduma ya haraka zaidi pindi wanapokuwa wanahitaji mahitaji yao. Wateja hao ni pamoja na hosipitali ya Taifa ya Muhimbili, Ta...

POLITICS Donald Trump Taps Ben Carson To Lead Housing & Urban Development

Carson has never held public office.  The Huffington Post President-elect Donald Trump is nominating Ben Carson , a retired neurosurgeon who has never held public office, as his secretary of housing and urban development. In a statement released Monday, Trump called Carson a “distinguished national leader” with a “brilliant mind.” View image on Twitter Donald Trump will nominate Ben Carson to serve as Secretary of the United States Department of Housing and Urban Development. Carson, who ran against Trump in the 2016 Republican primary, told Fox News last month that he was considering the position. This was a shift from his earlier assertion that he wasn’t qualified for a Cabinet position.  Trump’s choice to nominate Carson is just the latest confirmation that he’s prioritizing loyalty over government experience. One of the president-elect’s first hirings was Steve Bannon , a former Breitbart executive with ties to white nationalists...

MKUTANO WA KUPANGA NAMNA YA KUFANYA KUREJESHA HALI YA KIDAKIO CHA MTO LUKOSI CHINI...

Mkurugenzi wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu akiendesha mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya Mto Lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya) African Wildlife Foundation (AWF) Sustain Project Manager Pastor Magingi akijitambulisha wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa. Afisa wa Maji Bonde la Rufiji Idris A. Msuya akifafanua Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 kuhusu mita 60 toka kingo za mito wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto Lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji (W) Kilolo...