Naam! Mpendwa msomaji wa blog yangu hii habari za saa hizi, nimatumaini yangu u mzima wa afya njema. Napenda kutumia nafasi hii kukupatia japo kidogo habari ya ugonjwa wa kuanguka kifafa. Inakadiliwa kuwa kwenye nchi zinazoendelea asilimia moja ya watu wake wana ugonjwa wa kuanguka kifafa. Kati ya watu hao nusu yao ni watoto na hali hiyo inaweza kudumu maisha kama haikutibiwa. Kwenye nchi hizi wagonjwa wa kuanguka kifafa hudhalilishwa na hivyo kutengwa na jamii kwani ugonjwa huu hudhaniwa kuwa ni wa kuambukizwa. Kwa hiyo wagojwa hawa hula na kucheza peke yao na hivyo hawaruhusiwi kujiunga na wenzao katika kazi na shughuli nyingine za kijamii ingawa akili zao mara nyingi zipo sawa kabisa. Hivyo baada ya kusoma makala haya utaweza kuelewa baadhi ya mambo muhimu kuhusu ugonjwa wa kuanguka kifafa na kwamba ugonjwa huu HAUAMBUKIZI. UGONJWA WA KUANGUKA KIFAFA NI NINI? Ugonjwa wa kuanguka kifafa ni ugonjwa unaoathiri ubongo. Ugonjwa huu huwakumba watu wa aina na mataifa yote h...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.