Skip to main content

Posts

Showing posts from November 29, 2015

MO APATA TUZO NYINGINE, ADHIHIRISHA TAMAA YA KUWATUMIKIA WATANZANIA

Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akitembea kwenye 'Red Carpet' mara baada ya kuwasili katika hotel ya Hilton Sandton jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye hafla ya utoaji tuzo iliyoandaliwa na jarida maarufu la Forbes na kutunukiwa tuzo ya "Forbes Africa Person Of the Year 2015".(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog ). Na Modewjiblog team MFANYABIASHARA na mtu mwenye taasisi ya kusaidia jamii, Mohammed Dewji maarufu kama Mo ametunukiwa tuzo ya jarida maarufu la Forbes ya "Forbes Africa Person Of the Year 2015" katika hafla iliyofanyika Novemba 27 mwaka huu jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mfanyabiashara huyo pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohammed Enterprises T Ltd (MeTL Group) kampuni iliyoanzishwa na na baba yake katika miaka ya 1970 ambayo sasa imekua na kujikita katika viwanda vya nguo, usagaji nafaka, utengenezaji wa vinywaji baridi, usindikaji wa mafuta ya kula...

BAND YA SKYLIGHT KUENDELEA KUWAKONGA NYOYO MASHABIKI WAKE LEO NDANI YA ESCAPE ONE MIKOCHENI

Sony Masamba akiongoza marapa wenzake wa Skylight Band, Suzy (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Bijal Valentine(wa pili kutoka kushoto), Leah pamoja na Kasongo Junior (kulia) wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kiota cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza weekend imeanza kwa fans wa Skylight Band. Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba huku akisindikizwa na wasanii wenzake. Suzy (wa pili kulia) akiongoza waimbaji wenzake wa Skylight Band, huku akisindikizwa na Bijal Valentine(wa kwanza kushoto), Kasongo Junior pamoja na Leah (kulia) Waimbaji wa Bandi ya Skylight wakiongozwa na Leah(wa kwanza kulia) akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini Tanzania na hata nje ya nchi huku akisindikizwa na wasanii wenzake Suzy pamoja na Kasongo Junior wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita sasa leo sio siku ya kukosa n...

Managing Herpes During Pregnancy

Having herpes during pregnancy is a cause for caution but definitely not for alarm. Here’s how your doctor will treat this common infection during pregnancy and birth. Getty Images If you’re a mom-to-be with herpes, you’re not alone: Approximately one in every six adults in the U.S. is infected with genital herpes. That means there’s a better-than-average chance that your doctor has treated many expectant mamas with herpes before you and is well-equipped to ensure your baby is delivered safe, sound and completely unaffected by this common virus — especially if you and your practitioner take protective steps during pregnancy and delivery.   WHAT IT IS There are two types of herpes simplex virus (HSV), the viral infection that causes genital herpes: HSV-1 usually causes cold sores or blisters around the mouth, though it can be spread to the genital area during oral sex HSV-2 more commonly causes genital herpes, which can also be spread to the mouth during oral sex Both are s...

Placenta Previa

Most cases of placenta previa, a pregnancy complication, are detected early and managed well — resulting in a normal (if surgical) delivery. Rune Hellestad | Corbis What is placenta previa? The placenta is what nourishes and protects your baby in utero, filtering out what she doesn’t need and delivering the oxygen and nutrients she does. Most of the time, it attaches to the top or side of the uterus. But when the placenta implants low in your uterus, part of it can cover the cervix — a condition known as placenta previa. There are several types of previa: Complete previa: The placenta covers the entire cervical opening Partial previa: The placenta covers part of the cervical opening Marginal previa: The placenta borders the cervix No matter what kind of previa it is, the placenta physically blocks the opening to the birth canal (a.k.a. the vagina) — your baby's way out come his or her big B-day. How common is placenta previa? If you’re diagnosed with the condition before 28 w...