baadhi ya wananchi wa kijiji cha iyayi katika ya image wilayani kilolo, mkoani iringa wakimsikiliza naibu waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji mhandisi stella manyanya (hayupo pichani). kijin hicho kipo karibu na kiwanda cha maji cha imgae. Naibu wa waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Eng. Stella Manyanya akiongea na wafanyabiashara wa mkoa wa Iringa leo katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua viwanda nchini.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.