MKUU wa Wilaya Mufindi, Jowike Kasunga amewataka wananchi wa Kijiji cha Itengule, Kata ya Malangali kuharakisha ujenzi wa ofisi ya masijala ya ardhi unaoendelea katika kijiji hicho ili uweze kukamilika haraka kwa ajili ya kuhifadhi vifaa vya masijala. Katika hotuba yake hiyo iliyosomwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mufindi Allan Bernard kwa niaba yake jana, alisema kuwa wananchi kwa kushirikiana na serikali yao ya kijiji wanatakiwa kushiriki katika ujenzi wa ofisi ya masijala ili, kabati la chuma, mhuri wa moto (lakiri) na daftari la usajili wa hati za kimila viweze kuhifadhiwa salama. Jumla ya wananchi 296 wa kijiji cha itengule wapatiwa hati za hakimiliki za kimila na halmashauri ya wilaya ya mufindi kwa msaada ya taasisi Haki ardhi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo jana. Kasunga alisema kuwa wananchi wa Kijiji cha Itengule ni lazima watunze hati hizo za kimila vizuri kwa ajili ya manufaa yao wenyewe, ikiwa ni pamoja na kuzitumi...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.