Skip to main content

Posts

Showing posts from December 14, 2014

DRIVER IN THE ZESCO BUS DIES, 3 CHIPOLOPOLO BOYS PLAYERS RUSHED TO HOSPITAL

The driver of the ZESCO bus that was involved in a tragic car crush has reportedly died from serious injuries sustained in the accident. An unidentified Pajero, coming from Lusaka direction lost control and hit into the Zesco bus which was transporting the players to Lusaka. Nyambe Mulenga, Under Seventeen midfielder Changwe Kalale and Green Eagles Goalkeeper Satcmo Chakawa were traveling to Lusaka for this week's camping when they were involved in this tragedy, near Green Restaurant in Kabwe. The three have been rushed to Kabwe General Hospital. (SOURCE: MWEBANTU MEDIA GROUP)

MAGAZETI LEO JUMATATU

MTAA WA IDUNDA KARATASI ZA KUPIGIA KURA ZIMEISHA...!

Wananchi wa mtaa ya idunda kata mtwivilla jimbo la Iringa mjini wakipiga kelele nje ya kituo cha kupigia  kura baada ya karatasi za kupigia kura kuisha.

WWF YAMWAGA VIFAA VYA BUSTANI KWA SHULE ZA MUFINDI

  Wanafunzi wa shule ya msingi igomaa wilaya ya mufindi wakipata maelekezo ya namna ya kuanzisha vitalu cha bustani ya miti kutoka mtaalam . Ofisa Maendeleo ya jamii msaidizi, martha Sanga vifaa ya bustani mwalimu wa shule ya sekondari sadani. Wanafunzi wa shule ya msingi igomaa walifurahia kamera. Shirika la Hifadhi ya Mazingira Duniani (WWF) kupitia Programu ya Maji Ruaha (RWP), mkoani Iringa limekabidhi vifaa kwa ajili ya kuanzisha vitalu vya bustani za miti katika shule mbalimbali za Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.

MAGAZETI LEO JUMAPILI