Skip to main content

Posts

Showing posts from March 9, 2016

MTO IHANGA, MTO UNAOKATISHA KATIKA MITAA MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA

Kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni kimfereji cha maji ya mvua kumbe ni Mto Ihanga, mto huu unaokatikatisha katika mitaa mbalimbali ya jiji la Mbeya. Hapa ni maeneo ya Ilomba kama unavyoonekana jioni hii. watu wanatiririsha maji machafu kwenye mto na watu wengine wanautumia mto huu kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi kama vile kuoshea magari. maeneo ya Ilomba mchana wa jana.

UMOJA WA MATAIFA WANAWAKE WAZINDUA KUNDI LA ‘HEFORSHE’, LENGO KUWEKA USAWA WA KIJINSIA

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akitoa hotuba katika mdahalo kuhusu wanawake na uzinduzi wa Kundi la `HeForShe`. Umoja wa Mataifa Wanawake (UN Women) nchini umefanya uzinduzi wa kundi la mshikamano la Kimataifa linalohusisha wanaume na wavulana lililo na malengo ya kuhakikisha kunapatikana usawa wa kijinsia baina ya wanaume na wanawake ‘HeForShe’. Akizindua kundi hilo, Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez alisema usawa kijinsia ni haki ya kila binadamu na kupitia kundi hilo ni wajibu wa kila mwanaume na mvulana kusaidia kupatikana kwa usawa kwa wanaume na wanawake katika maeneo yote ambayo yanaonekana kuwa na upendeleo kwa upande mmoja. “Usawa wa kijinsia sio tu suala la wanawake pekee, ni suala la haki za binadamu ambalo hutuathiri sisi sote. Usawa wa kijinsia sio tu kuwawezesha wanawake, lakini pia huweka huru watu ...

POLITICS: The New President of Tanzania Wins Hearts of Tanzanians and Africans

President John Pombe Magufuli Wins Hearts of Tanzanians The 11th of February marked 100 days since John Pombe Magufuli was sworn in as the 5th President of Tanzania and so far, most Tanzanians feel satisfied with his performance. The 11th of February marked 100 days since John Pombe Magufuli was sworn in as the 5th President of Tanzania. So far, most Tanzanians feel satisfied with his performance. A survey commissioned by Mwananchi Communications Ltd (MCL) shows that an overwhelming majority of Tanzanians have given the thumbs up to their President. About 90% of the respondents said they were satisfied with how President Magufuli is managing the government. Whichever way one looks at it, Tanzania’s new President is currently the man of the moment. His words and actions, from the day he was sworn in to succeed the former President Jakaya Mrisho Kikwete, have impressed many people. He has taken into office with gusto, and has lived the spirit of his campaign in a true ...

The Desire to Extend Presidential Terms in Africa is a Worrying Trend

The Desire to Extend Presidential Terms in Africa Why is it African leaders don't want to leave power? In a perfect world, the constitution is the framework within which the governance of a country is anchored and is in many other ways supposed to provide protection against tyranny by guaranteeing freedoms and rights to citizens. Well, not anymore! At least not in some African countries whose leaders have found a way to manipulate the citizens into reviewing presidential terms to allow them to stay on and on even when they have become sterile. Citizens have rebelled against and strongly opposed attempts to manipulate the law to satisfy the selfish interests of individuals. But it seems like African leaders are using a “borrowed” guidebook that has worked in oppressing citizens in neighboring countries to vandalize the law in their own states. The establishment of Magna Carta —“The Great Charter”, — and affixing of a seal on the document by King John of ...

Bernie Sanders beats Hillary Clinton in stunning Michigan primary upset

Vermont senator had trailed in polls by more than 20 points but opposition to free trade and growing African American support won votes in rust-belt state Bernie Sanders: ‘What tonight means it that the Bernie Sanders campaign, the people’s revolution that we are talking about, is strong in every part of the country.’ Photograph: Alan Diaz/AP Dan Roberts in Miami and Ben Jacobs and Lauren Gambino in Detroit Bernie Sanders pulled off his biggest win of the Democratic presidential race on Tuesday, defeating Hillary Clinton in the Michigan primary on a night which also confirmed strong anti-establishment support for Donald Trump in the battle for the Republican nomination. In an industrial state hit hard by the decline of manufacturing, the Vermont senator’s consistent opposition to free trade deals appears to have been a decisive factor, but he also showed signs of weakening Clinton’s dominance among African American voters. The shock victory – by a mar...

TAASISI YA TWA YAANDAA KONGAMANO LA KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA

Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika  jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia. Rais wa  Tanzania Women of Achievement Irene Kiwia  akitoa hotuba ya ufunguzi  katika  kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika  jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia. Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la ...