Afisa Kilimo waManispaa ya Iringa, Robert Semaganga akionyesha mfano ya namna ya kuchimba mashimo ya kupanda mbegu za alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana. Mpishi akipika chakula kwa ajili ya vijana waliokwenda kupnada mbegu za alizeti katika shamba la vijana lililopokijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana. Vijana wakishuka kwenye gari baada ya kufika shambani kwa ajili ya kupanda alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akishiriki kupanda alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana. Mpishi akimuandaa ndege aina kwale aliyenaswa kwenye mtego katika shamba la utafiti la uyole ambapo vijana zaidi ya 100 kutoka zote za manispaa ya iringa walishiriki kupanda alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Ir...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.