Skip to main content

Posts

Showing posts from July 18, 2018

POLISI MKOANI IRINGA LIMEWAKAMATA WATU SABA KWA UTAPELI

Na Friday Simbaya, Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewakamata watu saba wanaotuhumiwa kujihusisha na matukio mbalimbali mkoani hapa kwa kukamatwa na vitu mbalimbali zikiwemo noti bandia dola za kimarekani pamoja na madini bandia. Akizungumza na wanahabari mjini Iringa leo kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ACP Juma Bwire Makanya alisema kuwa wamemkamata mtuhumiwa Emmanuel Mtweve , 41, mfanyabiashara mkazi wa Tabata wa jijini Dar es Salaamu akiwa na noti bandia 63 mfano wa dola za kimarekani. ACP Bwire alisema mtuhumiwa huyo Mtweve pia alikamatwa akiwa na madini bandia mithili ya dhahabu yenye uzito wa kilogramu 3.5 baada ya kufanyia upekuzi ndani ya gari yake keneye namba za usajili T 419 DLL aina ya Brevis. Alisema kuwa katika swala la ufuatiliaji wamekamata wahusika wengine wanatuhumiwa kujihusisha na matukio mbalimbali akiwemo Abdallah Mohamed,43, mkulima na mkazi wa Madoto Mburahati, Abukakari Mwamedi, 40, mkazi wa Mbarali Mbeya, Seif Seleman,37, mka...

POLICE ARRESTED SEVEN SUSPECTS ENGAGING IN VARIOUS INCIDENTS

POLICE in Iringa have arrested seven suspected men to engage in various incidents in the region here found with various items including fake American dollars banknotes and precious stones. Speaking to journalists today, Iringa Region Police Commander Assistant Commissioner of Police (ACP) Juma Bwire Makanya said they have arrested Emmanuel Mtweve, 41, Tabata's resident businessman in Dar es Salaam with 63 US dollars which were counterfeits. ACP Bwire said that the suspect Mtweve was also arrested with counterfeit minerals worth 3.5 kilograms of gold after investigating inside his vehicle with registration number T 419 DLL Brevis. He said that in the case they have arrested some other people were arrested to engage in various incidents including Abdallah Mohamed, 43, Madoto Mburahati's resident, Abukakari Mwamedi, 40, Mbarali, Mbeya, Seif Seleman, 37, Chanika's resident, Christopher Mgie, 37, Frank Lutanile and Abuu Mbinga all residents of Itamba Mbar...