Mwandishi na mpiga picha wa Mjengwablog/Kwanza Jamii, Daniel Kilonge (mwenye mzula) anasimulia alivyochomwa kisua kwa wana familia ya Wanahabari wa Iringa jana asubuhi. Mwandishi huyo alichomwa kisu kichwani na mtu asiyejulikana ndani ya Daladala. Kulikuwa na mabishano ya kisiasa hapo tarehe 27 Oktoba mwaka huu. Daniel alitulia kwenye kiti akizungumza na abiria mwenzake. Alikuwa njiani akitokea Tumaini kuja katikati ya mji kutekeleza majukumu ya kazi. Maggid
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.