Skip to main content

Posts

Showing posts from March 7, 2018

KIKAO CHA USHAURI CHA MKOA (RCC)

Mkoa wa Iringa Amina Masenza akitoa hotuba ya ufunguzi leo katika kikao cha ushauri cha mkoa (RCC) kwa ajili ya maendeleo ya mkoa. Wajumbe wa kikao cha ushauri cha mkoa (RCC) wakipitia taarifa mbalimbali wakati wa kikao hicho.