Skip to main content

Posts

Showing posts from July 10, 2017

RC MASENZA AIPONGEZA HALMASHAURI YA MUFINDI DC KWA KUPATA HATI SAFI YA CAG

Mwenyekiti wa Halmashuri ya Mufindi Festo Mgina (wa pili kulia) akifungua kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Mufindi cha kujadili taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa hesabu (CAG) zilizoishia tarehe 30 Juni, 2016 leo. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Mazenza akitoa hotuba leo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi cha kujadili taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa hesabu (CAG) zilizoishia tarehe 30 Juni, 2016. Kutoka kushoto walioketi ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa (RAS) Wamoja Ayubu na  Mwenyekiti wa Halmashuri ya Mufindi Festo Mgina (Picha na Friday Simbaya)     Wajumbe    Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa (RAS) Wamoja Ayubu  akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao hicho. Wajumbe  Mkaguzi Mkuu wa nje w Hesabu za Serikali (Mkoa wa Iringa) Willy Joseph Undule akitoa ufafanuzi wa jambo  leo wakati ...