IRINGA: Viziwi mkoani Iringa wameishukuru Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kuendesha mafunzo ya elimu ya umma ya utambuzi wa alama za usalama za noti halali. Walemavu hao walitoa kauli hiyo jana kwenye risala iliyosemwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza, ambapo jumla ya viziwi 50 walipatiwa mafunzo ya utambuzi wa alama za usalama za noti halali. Walisema kuwa semina hiyo ni muhimu sana kwao kwa sababu itawawezesha kutambua noti halali na halisi kwa walemavu wa kusikia mkoani Iringa. Mafunzo hayo yaliandaliwa na kituo cha sanaa na utamaduni kwa viziwi Tanzania (KISUVITA) kwa kushirikiana na Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) mkoa wa Iringa. Akisoma risala mwenyekiti wa KUSUVITA, Habibu Mrope kwa niaba ya walemavu alishukuru BOT kwa kuwezesha mafunzo ikiwa ni mwendelezo wa zile, ambazo zimekwishafanyika katika mikoa ya Lindi, Dodoma, Singida, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Mara, Kigoma, Tabora na Kagera tangu mwaka...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.