Mkuu wa Chuo cha Africa Graduate University cha jijini Dar es Salaam, Profesa Stiven Nzowa, akiongoza mahafali ya kuwatunuku Tuzo ya Heshima ya Udaktari (PhD) wanaharakati na watumishi wa mungu nane pamoja na wengine kadhaa waliotunukiwa Tuzo ya Heshima ya Shahada ya Uzamili HDD Dar es Salaam jana. Mwanaharakati wa Haki za Watoto ambaye ni Rais wa Tanzania Music Foundation Dk.Donald Kisanga aliyetunukiwa PhD ya masuala ya Usimamizi na Uongozi wa Biashara akiwa kwenye mahafali ya 30 ya Chuo cha Africa Graduate University yaliyofanyika Dar es Salaam jana. Askofu Dk. Godfrey Mallasy wa Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches, akielezea kazi mbalimbali alizofanya kabla ya kutunukiwa tuzo hiyo. Waliotunukiwa tuzo wakiwa na furaha katika picha ya pamoja. Wageni waalikwa wakiwa na Mama Askofu Dk.Godfrey Mallasy, Debora Mallasy (mwenye kofia), alikuwepo kushuhudia mume wake akitunukiwa tuzo hiyo. Meneja Programu na msherehe...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.