Skip to main content

Posts

Showing posts from June 30, 2016

MKOA WA IRINGA WAMALIZA TATIZO LA UPUNGUFU WA MADAWATI

MKOA wa Iringa umetekeleza agizo la Rais Dk John Magufuli kwa kufanikiwa kumaliza tatizo la upungufu wa madawati 29, 347 ambayo kati yake 26,046 ulikuwa ukizikabili shule za msingi 478 na 3,301 uliokuwa ukizikabili shule 107 za sekondari. Akikabidhi sehemu ya madawati hayo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye karakana ya chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mjini Iringa jana, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema mpaka jana madawati 21,304 yalikuwa yamekamilika na kusambazwa katika shule hizo. “Hadi leo tuna madawati 21,304 yaliyokamilika huku madawati 8,163 kwa ajili ya shule za msingi na 1,264 kwa ajili ya shule za sekondari yakiendelea kutengenezwa katika karakana mbali mbali na fedha kwa ajili ya matengenezo hayo tayari zimelipwa,” alisema. Alisema madawati yaliyochelewa kukamilika ndani ya muda uliopangwa yatakuwa yamekamilika ifikapo Julai 15, mwaka huu na yatasambazwa kwa shule hizo haraka iwezekanavyo. “Yamechelewa kukamalik...

SEMINA YA WWF YA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI (CLIMATE CHANGE IMPACTS AND ADAPTION MEASURES)

WWF Ruaha Water Program (RWP) Coordinator Mturi James speaking during the seminar today aimed at advancing the Great Ruaha River Catchment (GRRC) governance integration through climate change adaptation, sectoral collaboration and indigenous knowledge held at Makambako Town in Njombe Region. Participants  are doing a round-table group discussion on climate change (CC) impacts to fisheries, pastoralists, farmers and local coping mechanisms case during the three day seminar organized by WWF-RWP held in Njombe Region. Participants (journalists) are doing a round-table group discussion on climate change (CC) impacts to fisheries, pastoralists, farmers and local coping mechanisms case during the three day seminar organized by WWF-RWP held in Njombe Region. An old man Adamson Msigala (74) from Mpando Water User Association (WUA) in Wanging'ombe District, Njombe Region sharing experience on indigenous knowledge about how they used t...