Skip to main content

Posts

Showing posts from November 23, 2015

VISUALIZING THE FLOW OF M & E TJROUGH THE OUTCOME MAPPING FOR AYP PROGRAM

CARE Danmark Programme Development and M&E Coordinator, Maria Ploug Petersen conducting a training on outcome journals for AYP Program in Iringa today, making the  follow-up on the previous meeting she conducted. (Photo by Friday Simbaya) Ardhi Yetu – Supporting the land rights of small-scale farmers and pastoralists in Tanzania  Purpose In Tanzania, land is being commercialized and this is an increasingly contentious issue. Large chunks of land are being acquired by national and foreign investors with limited compensation to the affected local residents.  Currently, the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) and Kilimo Kwanza (Agriculture First), two large scale investment strategies, are being championed by the government together with other key players including the donor community in Tanzania and the private sector.  There is a growing concern over whether these investment str...

UNIDO YAPIGA JEKI VIWANDA VIDOGO VYA MAFUTA YA ALIZETI DODOMA

Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm & Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi zake kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo (kushoto), Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum (kulia) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la FAO nchini, Patric Otto kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa mjini Dodoma. (Picha na Modewjiblog ). Na Mwandishi wetu Kutoratibiwa kwa mbegu za alizeti na ukosefu wa mitaji umeelezwa kuwa changamoto kubwa kwa wasindikaji wadogo wa mafuta ya mbegu ya alizeti katika kuendesha viwanda vyao kwa gharama nafuu. Hayo yameelezwa na Wakala wa uendelezaji Kongano la Mafuta ya Alizeti wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo la Viwanda (UNIDO) ...

MAZISHI YA MAWAZO BADO KIZUNGUMKUTI, CHADEMA KUTINGA MAHAKAMANI

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.  Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina yake na familia ya marehemu Mawazo.  Alisema kuwa baada ya mazungumzo hayo, Chadema pamoja na familia ya marehemu Mawazo wamekubaliana kwenda Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kufungua shauri la kuomba tafsiri ya Kimahakama juu ya zuio hilo la jeshi la polisi kuzuia mwili wa marehemu Mawazo kuagwa Jijini Mwanza kabla ya Kwenda kuzikwa Kijijini kwake Chikobe katika Wilaya ya Busanda Mkoani Geita. Naye Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo,...