Skip to main content

Posts

Showing posts from June 3, 2016

WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI (WUAs)

Chanzo cha maji kinachohifadhiwa na jumuiya ya ya watumia maji cha MBUTILU wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya MBUMTILU Asheri Ludaliko Kilasi akiwaelezea mwandishi wa habari jinsi gani jumuiya hiyo imeweza kutunza Chanzo cha maji cha mto Mtitafu. MBUMTILU inajumlisha mito mitatu ya Mtitafu, Bukwe na Lubidzi ambapo wameweza kuhifadhi jumla ya vyanzo vya maji 428. Jumuiya hiyo alianzishwa mwaka 2009 wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe kwa ufadhili wa shirika la uhifadhi la WWF. Chanzo cha maji kinachohifadhiwa na jumuiya ya watumia maji ya MBUTILU Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ufadhili wa shirika la WWF.  Banio la maji katika mto Mtitafu wilayani Wanging’ombe Kitalu cha miti ya asilia ya Mivengi cha Jumuiya ya MBUMTILU chenye miti zaidi ya 1,440 ambayo inatarajiwa kupandwa katika vyanzo vya maji 196. WWF ime...