Skip to main content

Posts

Showing posts from January 22, 2017

Zanaco sign Tanzania winger Lyanga

FAZ Super Division champions Zanaco have signed Tanzanian winger Ayub Reuben Lyanga. The winger joins Zanaco on a permanent move from Oman club Fanja. Lyanga is the second foreign player on Zanaco’s 2017 roster alongside Ghana forward Kwame Attram who joined the seven-time champions in the 2016 season. They are also unconfirmed reports that ex-Zesco United defender Zimiseleni Moyo from Zimbabwe is also set to sign at Sunset Stadium. Zanaco are bolstering their team following a run on the club that has seen over eight players, including veteran midfielder Isaac Chansa, depart in the 2017 pre-season an unprecedented development for a Zambian representative in continental club competition. Zanaco will represent Zambia in the 2017 CAF Champions League and face Rwanda giants APR over two legs in the preliminary round in February.

TRA MKOA WA IRINGA KUKUSANYA ZAIDI YA 63BN/- MWAKA 2016/17

Mamlaka ya Mapato Manzania (TRA) mkoani Iringa imepangiwa lengo lakukusanya mapato ya shilingi 63bn/- katika mwaka wa fedha 2016/2017, amesema Charles Kichere Naibu Kamishna Mkuu wa TRA. Kichere alisema hayo wakati mkutano wa TRA na wafanyabiashara kutoka mikoa ya Njombe na Iringa uliofanyika mkoani Iringa juzi. Alisema kuwa mkoa wa iringa ukiwa ni mmoja ya mikoa tajiri nchini itakusanya mapato hayo kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato. Kichere alisema kuwa mapato hayo yatakusanywa kutoka kwa wafanyabiashara, walipa kodi, waajiri, makandarasi pamoja na wadau wengine wa kodi. “Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeendelea kubuni mikakati mbali mbali ya kuongeza ukusanyaji wa mapato ili kuendana na kauli mbiu ya serikali ya awamu ya tano isemayo “HAPA KAZI TU” ili kutimiza na kuvuka lengo la kukusanya shilingi trilioni 15.1 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17,” alisema Kichere. Alisema hivi sasa nchini inaelekea katika uchumi wa kati na wa viwanda hakunabudi ku...