Skip to main content

Posts

Showing posts from November 4, 2014

Angry Youths Riot in Zambia Capital

Monirul Bhuiyan/AFP/Getty Supporters of Zambia's long-ruling Patriotic Front rioted in several locations in the capital, Lusaka, apparently angered by news that Acting President Guy Scott had sacked Edgar Lungu, secretary-general of the political party. Eyewitnesses said young PF supporters attacked bystanders and randomly destroyed property at places such as the University of Zambia and the National Institute of Public Administration. Several people were injured and police, some using tear gas, were deployed to handle the protests. Scott became sub-Saharan Africa's first white head of state since apartheid when he replaced President Michael Sata, who died in London on October 28. THE DAILY BEAST THE DAILY BEAST

Watu wawili wamefariki dunia mkoani Iringa

Watu wawili wamefariki dunia mkoani Iringa katika matukio tofauti  ikiwapo la mkazi wa Kijiji cha Bumilayinga Kata ya Bumilayinga tarafa  ya Malangali wilayani Mufindi kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali. Akingumza na waandishi wa habari ofisni kwake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema kuwa Maurisia Malangalila (65) aliuawa kwa kukatwa shingo na kitu chenye ncha kali na Patrick Ngelenge.

SERIKALI YAFUNGUA MIPAKA YA KUUZA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI

Mkuu wa mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma akiongea na waandishi wa habari jana kuhusu utoaji wa vibali kwa wafanyabiashara vya kusafirisha mazao nje ya nchi ambavyo wizara ya Kilimo, Chakula naUshirika imekuwa ikitoa na kuratibu upatikanaji wake kwa mujibu waSheria ya Usalama wa Chakula. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Na Friday Simbaya, Iringa Mkoa wa Iringa umeanza utoaji wa vibali kwa wafanyabiashara vya  kusafirisha mazao nje ya nchi ambavyo wizara ya Kilimo, Chakula na  Ushirika imekuwa ikitoa na kuratibu upatikanaji wake kwa mujibu wa  Sheria ya Usalama wa Chakula.

RC IRINGA AKABIDHI MIFUKO YA SARAJI 115 KWA MANISPAA YA IRINGA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma (wa pili kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Leticia Warioba jana kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 115 ya sementi yenye thamani 1,725,000/- kwa ajili ya  ujenzi wa maabara katika shule za sekondari. Wanaoshuhidia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Ayub Wamoja (kulia) na mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Theresia Mahongo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma jana amekabidhi msaada wa mifuko 115 ya sementi yenye thamani 1,725,000/-kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Theresia Mahongo kwa ajili ya  ujenzi wa maabara katika shule za sekondari.

MAGAZETI LEO0 JUMANNE