katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Elisha Mwampashi awataka vijana kujituma kuafanya kazi na kuacha kukaa vijiweni
katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Elisha Mwampashi wa pili kulia akiwa na katibu mkuu wa UVCCM Taifa Bw Sixtus Mapunda na fredy mgunda,iringa Akizungumza na mtandao huu katibu wa uvccm mkoa wa iringa ELISHA MWAMPASHE alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali. “Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati hawajui mchana watakula wapi na jioni watarudi na nini nyumbani”alisema ELISHA MWAMPASHE