Kesho ni Siku Kuu ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi), ambapo timu ya soka ya wafanyakazi wa misioni Peramiho itamenyana na timu ya watumishi wa serikali katika viwanja vya Peramiho wilayani Songea, mkoani Ruvuma, ikiwa ni sehemu yao ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani. Pia timu ya wanawake ya mpira wa Pete (Netball) ya Peramiho vile vile itashuka dimbani kumenyana na timu ya wafanyakazi wa serikali katika mechi zitakazoanza Saa Kumi jioni. Mgeni Rasmi anatarajia kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenister Mhagama (CCM) akiambatana na viongozi wengine chama hicho na viongozi serikali .
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.