Skip to main content

Posts

Showing posts from October 12, 2010

WANANCHI ISIMANI WAPATA MSAADA

  Baadhi ya misaada iliyotolewa na jamii ya waislamu kutoka Iringa Mjini na Wilaya ya Iringa vikiwa vinagawiwa kwa wananchi wa Kijiji cha Isimani-Tarafani wilayani Iringa waliyokumbwa na tatizo la chakula kutokana na ukame. Waislamu hao alitoa sembe tani mbili (2), maharage kilo 1,500, mafuta ya kula, sabuni na sukari vyenye thamani ya milioni saba (7m/-).   Mkazi wa Isimani-Tarafani akimsaidia mlevu kusukuma baiskeli iliyoshehena msaada wa chakula bbad ya kupata mgawo.  Mwakilishi wa waislamu waliotoa misaada mbalimbali kwa wananchi wa Isimani-Tarafani wilayani Iringa, Mkoa wa Iringa Bw. Elimi Shams (kulia) akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza zoezi la kugawa misaada kwa wananchi waliokubwa na uhaba wa chakula kutokana na ukame.  SHEIKH Sharrif Abdullah Hussein-Kateshi na kiongozi wa waislamu mkoani Manyara (kulia) akibadilishana mawazo na Sheikh wa Tarafa ya Isimani Athumani Hussein Mfilinge (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Msafar...

IRINGA MUSLIMS DONATES FOOD AND CLOTHES

MUSLIMS in Iringa have donated various items including food and clothes to Isimani-Tarafani villagers who are facing food shortage due to prolonged drought that they have experienced for consecutive three year now today. Among other things that was donated to the residents of Isimani by muslims included Maize flour (2tons), beans (1,500 kgs), sugar, cooking oil and clothes worth more than 7m/-, according to the representative. According to Shams Elimi, who is also an Executive Secretary for Dhi Nureyn Islamic Foundation in Iringa Region, the items donated to residents of Isimani came from various Muslims who were moved by the situation that residents were facing. More than 200 Isimani-Tarafani residents, about 40 households’ mostly vulnerable pepole and those living in hardship conditions were among the beneficiaries of donations. “We have organized ourselves us Muslims both from Iringa Municipal and Iringa District and contributed some money and others so that we...

WATER STAKEHOLDERS MEET AND DISCUSS

MEETING IN PROCESS AT VETA IN IRINGA REGION THE ASSOCIATION of Rural Cooperation in Africa and Latin America (ACRA) Country Coordinator-Tanzania, Luca Todeschini said, if water projects and water supply systems will include water users participation in the management of water supply can be important for systems sustainability.  He said that most of the water projects in many areas were not sustainable managed and dies due to lack community ownership and support to take care off. Todeschini made the appeal on Monday during a two-day water point mapping stakeholders workshop held in Iringa, in which eight local government authorities and regional secretariat of Iringa, international NGOs and representatives from the Ministry of Water and Irrigation were attended. The workshop which was funded by ACRA in collaboration with the Ministry of Water and Irrigation (MOWI) was meant to bring stakeholders together so that they can share experience and come up with comm...