Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Mkilikti akifungua mkutano wa siku moja wa wadau wa elimu wa tathmini ya elimu na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi na daras la nne mwaka 2013 leo katika Ukumbi wa Mt. Benedkito Peramiho wilayani Songea, mkoani Ruvuma. Wadao elimu mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Mkilikiti wakati mkutano wa tathmini wa kuhitimu elimu ya msingi na darasa la nne mwaka 2013wilayani Songea, mkoani Ruvuma leo. Na Friday Simbaya, Songea Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma katika Idara ya Elimu ya Msingi ina jumla ya wanafunzi 3770 wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu (K.K.K.), imefahamika. Hayo yalibainika wakati wa mkutano wa kutathmini elimu na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi na daras la nne mwaka 2013 uliofanyika hapa Peramiho hivi karibuni . Akisoma taarifa yake ya utekelezaji kwa wadau wa elimu mbalimbali waliohudhuria kikao hic...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.