Skip to main content

Posts

Showing posts from November 13, 2017

RC AIPONGEZA RUAHA KWA KUPAMBANA NA UTAPIAMLO

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza (kushoto) akitembelea banda la Ruaha Miling Company Limited katika uzinduzi wa Kampeni ya Mama Msosi Lishe mkoani Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA ) Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza akimpatia uji wa lishe mtoto katika uzinduzi wa Kampeni ya Mama Msosi Lishe mkoani Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) IRINGA: MKUU wa Mkoa wa Iringa (RC) Amina Masenza ameipongeza kampuni ya kusaga unga wa lishe ya ‘Ruaha Milling Company Limited’ ya mjini Iringa kwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na tatizo la utapiamlo. RC alisema huyo katika uzinduzi wa Kampeni ya Mama Msosi Lishe mkoani Iringa jana, ambayo ili lenga kuhamasisha lishe bora ili kupambana na udumavu pamoja na kuhamasisha usafi na uhifadhi wa mazingira. Alisema kuwa kampuni ya Ruaha Milling imekuwa mstari wa mbele katika kupambana na utapiamlo mkaoni hapa kwa kutengeneza unga uliotiwa virutubisho. Masenza alisema kuwa Kampeni ya Mama Mso...