Skip to main content

Posts

Showing posts from January 21, 2011

DIWANI AKIHIMIZA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mheshimiwa Diwani wa Kata Mpya ya Peramiho, Izack Alex Mwimba akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata yake katika mkutano wa hadhara uliyofanyika Kijiji cha Peramiho 'A'. Diwani huyo alikuwa akiwahimiza wananchi katika shughuli za maendeleo hususani ugawaji wa vocha za pembejeo.