Skip to main content

Posts

Showing posts from October 26, 2016

PAUL MAKONDA AFANYA TUKIO HILI LA MFANO MKOA WA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam kutunza mazingira hasa sehemu zenye mazalia ya mbu ili kuepukana na ugonjwa wa mabusha na matende. Makonda ametoa wito huo siku ya leo. Kata ya Buguruni wakati akizindua kampeni ya uhamasishaji unywaji dawa na kufanyiwa upasuaji kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele ambayo ni Matende, Mabusha, Kichocho, Minyoo na Usubi, ambapo takwimu zinaonesha wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa wakisumbuliwa na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha. Makonda ameeleza ni vyema wakazi wa Dar es Salaam wakaitumia fursa hiyo ya kampeni itakayodumu kwa siku tano kuanzia siku ya leo mpaka Oktoba 30, kwani kujitokeza kwao kwa wingi kupimwa na kunywa dawa kutaisaidia serikali kuinua nguvu kazi itakayochochea ukuaji wa uchumi kwani watu wakiugua maradhi hayo bila ya kupata tiba au kuwa na kinga mapema hupoteza nguvu kazi. Makonda ameongeza kuwa takribani ya watu 6400 wamegundulika na mabusha hivyo ni vye...

WAZIRI MKUU AKILI NCHI INAUHABA WAHADHIRI WA VYUO VIKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kutafuta fedha za mafunzo kwa ajili ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini ili kuziba pengo la wahadhiri waandamizi lililopo hivi sasa Waziri Mkuu pia amevitaka vyuo hivyo viweke utaratibu wa kuachiana nafasi ama kurithishana kazi (succession plan). Amesema yeye binafsi anatambua upungufu uliopo umesababishwa na masharti ya ajira za mkataba kwa wahadhiri waandamizi kuwa miaka 65 na maprofesa kuwa miaka 70. Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Oktoba 25, 2016) wakati akifunga kilele cha maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyoanza jana kwenye ukumbi wa Nkrumah. Kampasi ya Mwalimu J. K. Nyerere, jijini Dar es Salaam. “Ninatambua kuwa katika vyuo vya umma kuna upungufu mkubwa wa wahadhiri waandamizi na maprofesa na hivyo kuathiri hali ya utoaji wa taaluma kwa fani za ‘Post-Graduates’. Ninajua kuwa pamoja na sababu nyingine, hali hii inachangiwa pia na masharti ya ajira za mikataba kwa wa...

Police search for man who impregnated 14-year-old girl

IRINGA: POLICE in Iringa Region are searching for man age unknown who is accused of having sex with a 14-year-old girl and impregnating her. Iringa Regional Police Commander (RPC) Julius Mjengi said the accused man is at large after founding out that he has impregnated girl who is a pupil at Nyanzwa Primary School in Kilolo District, Iringa Region. RPC said the girl was identified during school routinely mandatory pregnancy tests and expelled from school.  RPC Mjengi told the Guardian on Wednesday that the incident happened on 25th November this year at around 11:00 hrs at Ilula Village, Mazombe Division in Kilolo district, Iringa region. “We are looking for the man who has impregnated a 14-year-old girl who is a pupil at Nywanzwa Primary School in collaboration with village government and teachers to bring the culprit to book,” RPC narrated. A 2013 Tanzanian Ministry of Education and Vocational Training Tool Kit continues to recommend conducting periodic...