Skip to main content

Posts

Showing posts from September 2, 2014

Kumbukumbu ya Daud Mwangosi

SEMINA YA LUGHA YA ALAMA

ALPHABETI ZA LUGHA  YA ALAMA TANZANIA Mkufunzi wa lugha ya alama Simon Mgaya akiendesha semina ya lugha ya alama kwa washiriki wa mafunzo ya siku sita ya mchezo wa mpira wa mikono yanayoendelea kufanyika katika chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) yanayoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la CSPD kwa kushirikiana na chama cha mpira wa mikono (TAHA) leo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)