ticle class="main column"> Thursday, October 1, 2015 Mke wa mgombea urais wa Chadema, Regina Lowassa akizungumza na wanawake katika moja ya mikutano yao. Picha na Maktaba Amewataka kutobabaika siku ya uchaguzi kwa kuwa kipindi cha mabadiliko kimefika By Joseph Lyimo, Mwananchi Babati. Mke wa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina amewaomba Watanzania kuwa makini siku ya kupiga kura, kutunza kadi zao. Pia, Regina amewaomba wapigakura wasichore wala kuandika chochote kwa mgombea mwingine siku ya kupiga kura ili kuepuka kuharibu kura zao na kumpunguzia idadi ya kura mumewe. Alitoa ombi hilo juzi, wakati akizungumza na wakazi wa mjini Babati, baada ya kumaliza kuzungumza katika mkutano wa ndani na wanawake. Alisema ili wasiharibu kura zao baada ya kuwasili asubuhi kwenye kituo cha kupiga kura, wanatakiwa kuweka alama ya vema kwenye eneo la mgombea udiwani, ubunge na urais wa Chadema. Alisemawananchi wameh...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.