Skip to main content

Posts

Showing posts from May 7, 2014

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

MBOWE KUTANGAZA BARAZA KIVULI KESHO

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri. Kwa mara ya kwanza tangu Uchaguzi Mkuu uliopita wa 2010 na baadaye kuzinduliwa kwa Bunge la 10, baraza hilo litawajumuisha wabunge kutoka vyama vingine nje ya Chadema. Vyama vitakavyojumuishwa ni CUF na NCCR – Mageuzi. "Nitalitangaza baraza langu jipya la mawaziri Alhamisi (kesho) baada tu ya kukamilisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu," alisema Mbowe jana mjini Dodoma. Alisema mawaziri hao wataanza kutekeleza majukumu yao katika Bajeti ya mwaka 2014/2015 kwa kusoma hotuba zao za bajeti. Kujumuishwa kwa wabunge wa vyama vya CUF na Chadema ni matunda ya kuundwa kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakati wa Bunge la Katiba. Hivi karibuni, Mbowe alikaririwa na gazeti hili akisema hatua hiyo imefikiwa baada ya "kila upande kukubali kuwa unamhitaji mwenzake katika harakati za kuikomboa nchi hii." Ukawa ndiyo iliyowaongoza baadhi ya wajumbe wa Bung...

PRESIDENT KIKWETE MEETS WITH BHARTI AIRTEL CEO IN ABUJA,

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete meets and holds bilateral talks with the CEO of Bharti Airtel Mr Sunil Mittal in the sidelines of the World Economic Forum on Africa today May 7, 2014. ( State House Photos)(FS)

ZITTO KABWE AGEUKA KIVUTIO MAZISHI YA BABAKE FILIKUNJOMBE LUDEWA

Kutoka  kushoto mkuu wa wilaya ya  Ludewa  Juma Madah ,mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe na mbunge wa jimbo la  kigoma kaskazani Zitto Kabwe wakiwa katika msiba wa babake Filikunjombe mjini Ludewa jana. DC Ludewa Bw Juma Madaha akitambulisha  viongozi mbali mbali