Skip to main content

Posts

Showing posts from January 3, 2017

LOWASSA AMPA TANO TRUMP WA MAREKANI...

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pichani akiwa na mke wake, amewapongeza raia wa Marekani kwa kumchagua Donald Trump kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa Lowassa, Trump atakuwa rais mwenye kufanya uamuzi mgumu kwa kuwa ni shupavu na ana uwezo. Trump ambaye ni Rais Mteule wa Marekani, alichaguliwa kuwa Rais mpya wa Marekani baada ya kumshinda mpinzani wake, Hillary Clinton, mwishoni mwa mwaka jana. Lowassa aliyasema hayo jana katika misa maalumu ya shukrani ya mwaka mpya 2017 iliyoshirikisha madhehebu mawili ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Monduli na Kanisa Katoliki, wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha. Ibada hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo wa Serikali na wa vyama vya siasa, wakiwamo Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ambaye pia ni Katibu wa Chadema, Mkoa wa Arusha. “Wamarekani hawakufanya makosa kumchagua Trump kwani anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kuongoza Taifa hilo tajiri duniani a...

ERB reduces the Price of fuel, attributes reduction to Kwacha strength and fall in oil price

ERB Board Chairman Francis Yamba The Energy Regulation Board (ERB) has reduced the pump price of all petroleum products effective Tuesday midnight tonight. ERB Board Chairman Francis Yamba has announced that the price of petrol has been reduced by K1.20 and will now be selling at K12.50 from the K13.70 Professor Yamba further announced that diesel has seen a reduction and will be selling at K10.70 from K 11. 40. He said the price of Kerosene has been reduced by K1.22 and will be selling at K6.81 from K8.03. Low Sulphur Diesel has also seen a reduction of 68 ngwee and will be selling at 13.01 from 13 .69. Professor Yamba attributed the price reduction of the petroleum products to fundamentals such as the exchange rate He added that ERB will continue to monitor and review the pump prices according to the minimised consumer shocks. Professor Yamba was speaking at a media briefing in Lusaka. Below is the full statement

CHAWABATA CHAPINGA MANISPAA YA ILALA KUKAGUA LESENI ZA WAUZA VILEO USIKU

Mwenyekiti wa Chama cha Wahudumu wa Baa Tanzania (Chawabata), Ali Hussein (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akipinga zoezi linalofanywa na Manispaa ya Ilala la kukagua leseni za wauza vileo usiku. Kushoto ni Katibu wa chama hicho, Boniface Lameck. Katibu wa chama hicho, Boniface Lameck akitoa ufafanuzi  katika mkutano huo. Na Dotto Mwaibale CHAMA cha Wahudumu wa Baa Tanzania (Chawabata) kimepinga zoezi linalofanywa na Manispaa ya Ilala la kukagua leseni za wauza vileo usiku. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa chama hicho, Ali Hussein alisema zoezi hilo linawatisha wateja wanapokuwa wakipata vinywaji katika baa mbalimbali. Hussein alisema chama hicho kimepokea malalamiko kutoka kwa wamiliki wa baa ambao ni wanachama wao. Alisema wiki moja kabla ya kuanza kwa sikukuu za mwishoni mwaka maofisa biashara wa Manispaa ya Ilala walikuwa wakipita katika baa mbalimbali maeneo ya Ukonga na v...

MATERNAL HEALTH SERVICES FOR RURAL WOMEN STILL A FAR-FETCHED DREAM

Steven Mwakihoo, is struggling with preparation to ferry his pregnant wife to attend her monthly clinic to a dispensary some 18 kilometres away from the couple's village. Photo| Daniel Mbega of Maendeleo Vijijini blog. STEVEN Mwakihoo (45), a resident of Makungu village, Ukwega ward in Kilolo district, Iringa region, is preparing to take his pregnant wife, Egla Kikoti (34) on a bicycle to attend her monthly clinic at Ipalamwa dispensary, about 18-kilometres away from the couple’s village. It is very difficult to carry a pregnant woman like Egla on a bicycle from Makungu to Ipalamwa due to the long distance, dilapidated road and the scorching sun – these are just a few of the difficulties. The environment of the area is a hilly and not friendly, but especially so when you are carrying someone in Egla’s condition, a situation which makes it hard for many villagers using bicycles as their main means of transport to access health services. “Most of the time I h...

PUPILS IN IRINGA MUNICIPALITY DID POORLY IN ENGLISH AND MATHS IN PSLE EXAMS

THE Acting Education Officer for Iringa Municipality (Primary Schools) Salimin Mndeme, said lots of pupils did poorly in the subjects of English and Mathematics who completed primary education in 2016.  He said Monday that the subjects that candidates did well are Kiswahili, social studies and science.  However, the acting education officer said that the Municipality of Iringa has a shortage of specialist teachers in the subjects of English and Mathematics probably that is the reason many pupils did poorly in these subjects.  Mndeme said order to increase operational efficiency for teachers in these subjects; the government should provide regular seminars (ie in-service training program) for teachers in the subjects of English and mathematics.  "The pass rate of the candidates who did the exams to finish primary education (PSLE) 2016 in Iringa Municipal, Iringa Region has increased compared to last year, where performance for last year is the 87...