Skip to main content

Posts

Showing posts from April 3, 2016

Tigo Yafungua Duka jipya wilayani Handeni

 Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa duka jipya la TIgo wilayani Handeni mkoani Tanga  kulia kwake   ni  Mkuu wa willaya ya Handeni mhe. Halima Rajab Msangi uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo wilayani humo. Wengine mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles(wa pili kushoto), Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo (kulia) na Msimamizi wa Duka la Tigo Handeni,  Zuhuru Omary.  uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka jipya la Handeni kwa mgeni rasmi  Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi anayeshuhudia ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles  uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wi...

EU referendum: poll shows young voters could hold key in June vote

Leave campaign four points ahead in survey that shows just half of 18-34s are certain to cast their vote on 23 June An online survey by Opinium puts the Leave camp on 43%. Photograph: Stefan Rousseau/PA Toby Helm Observer political editor The decision over whether the UK remains inside the European Union could depend on whether young people shake off their apathy and vote in sufficient numbers on 23 June, a revealing opinion poll conducted for the Observer shows. In a blow to David Cameron and the pro-EU camp, the online survey by Opinium puts the Leave side on 43%, four points ahead of Remain, on 39%. Some 18% of voters said they were undecided, while 1% refused to say. Britain’s values were founded in Europe – how can we leave? Andrew Graham Read more While most of the “don’t knows” said, when pushed, that they were leaning towards Remain, offering hope to the pro-EU side, the survey will serve as a wake-up call to leaders of all four main Westmi...

TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA INJILI 2016 KUFANYIKA NCHINI

Linatarajiwa Kufanyika Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili hapa nchini. Tamasha hilo limepewa jina la "LA KWETU CONCERT" na litafanyika katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Mbeya, Arusha, Dar es salaam na mingineyo. Tamasha hilo linaandaliwa kwa Ushirikiano na Waimbaji wa Muziki wa Injili, Watangazaji na Waandishi wa Habari chini ya Kampuni ya FAMARA INTERTAINMENT ya Jijini Mwanza, ambapo wadau mbalimbali wanakaribishwa ili kufanikisha tamasha hilo ambalo litakuwa la aina yake. Imeandaliwa na  George Binagi-GB Pazzo @BMG