Skip to main content

Posts

Showing posts from October 15, 2014

Kinana awaasa makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa

        Joyce Kasiki, Dodoma KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrahaman Kinana amewaomba  makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa nchini kufanya maandalizi mazuri kwa kuteua wagombea wazuri wanaokubalika,wanaopendwa na wanaoheshimika  katika jamii ili chama kiweze kushinda kwa kishindo katika chaguzi zijazo.

Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ,Abdulrahman Kinana akiulizwa swali na mmoja wanachama wa chama hicho mjini Iringa hivi karibuni. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)   Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amekamilisha awamu nyingine ya ziara zake mikoani. Katika awamu hii, alitumia siku 28 kutembelea mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa.

MKE wa mtu sumu , kikongwe afanya mauaji ya kihistoria Iringa

  Picha namba 01 Wananchi  wakiwasikiliza  mke  wa mtuhumiwa wa mauwaji Bi  Melea Mtwanga akiwa na mtoto  wake  Manet Mtalima ( kushoto)  wakati  wakizungumza na mwandishi  wetu (hayupo pichani) nje ya eneo la tukio.   Mke  wa mtuhumiwa wa mauwaji Bi  Melea Mtwanga akiwa na mtoto  wake  Manet Mtalima.     Picha namba 02  mtuhumiwa wa mauwaji Gwalino Ganga akiwa na mkewe  Melea  Mtwanga.   Na  Francis Godwin, Iringa   MKE ama mume  wa  mtu  ni  sumu si neno jipya  katika vinywa  vya wengi  japo baadhi yetu tumekuwa  tukichukulia juu juu neno ila kwa wakazi wa kijiji  cha Mbigili kata ya Mazombe wilaya ya Kilolo wameamini kuwa lina ukweli ndani yake baada ya kikongwe wa miaka 70 kumtwanga risasi mbili kijana ambae alimtuhumu kuingilia ndoa yake kwa  kuvunja amri ya sita na mama w...

NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho picha na SUPER D BLOG   Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG

HIZI NI NCHI AMBAZO RAIA WA TANZANIA HAHITAJI VISA KWENDA

  Zifuatazo ni nchi ambazo raia wa Tanzania anaweza kwenda bila kuwa na visa.

ABUU MAJEKI AOMBA WANA IRINGA KUIOMBEA DUA TIMU LIPULI FC HUKO TANGA LEO

Magazeti Jumatano