WAUZA magazeti mkoani Iringa wameiomba jamii kuthamini kazi yao ya kuuza magazeti na kuachana na dhana potofu ya kuwaona kama ni watu wasiofaa katika jamii. Wauza mgazeti hao waselima hayo wakati wakiongea na Nipashe jana kupitia umoja wa wauuza magazeti Iringa (UWAMAI), nakuongeza kuwa wameamua kuanziasha umoja huo ili kuondoa dhana potofu ya jamii juu yao. Walisema kuwa wapo watu wanaowafananisha na wahuni, wavuta bangi na wasiokuwa na maadili katika jamii na wengine kuwahisi kuwa na itikadi Fulani wa vyama vya siasa. Akifafanua kuhusu jambo hilo mweneyekiti wa umoja huo wa UWAMAI, Mashaka Kayoka alisema kuwa kazi ya kuuza magazeti ni kazi kama kazi zingine za kujiingizia kipato. Kayoka aliwaomba wadau mbalimbali wa magazeti pamoja na serikali kuviunga mkono vikundi kama hivyo kwa kuthamini kazi zao yakusambaza magazeti kwa wateji mbalimbali ili wapate habari. “Tumekuwa tukinyoshewaa vidole na jamii kwamba wauza magazeti ni wahuni na watu wa vurugu, kumbe wal...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.