Skip to main content

Posts

Showing posts from September 30, 2014

Trekking the Maasai Land on Foot; Mambo ya Tanzania Travel Company

Tembo wa Tarangire National Park

 Huwa napata faraja kuendelea kuona Nchi bado inao hawa wanyama na wapo ambao wana meno yao. Takwimu za ujangili zinatisha kiasi cha kwamba huwa napata hofu mwishowe nchi yetu itabaki kuwa na Tembo wasio na meno yao. itakuwa ni sawa na kuwa na Simba asiyekuwa na sharubu. Kundi hili la Tembo lilionekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Abdul ambaye alikuwa huko kwa mapumziko mafupi.

Mapango ya Amboni, Tanga

WALIMU WAFANYA USAFI SOKO KUU IRINGA

Baadhi ya walimu wa Manispaa ya Iringa wakifanya usafi katika Soko Kuu la  Manispaa asubuhi  leo ikiwa ni maandalizi ya sherehe ya siku ya walimu duniani itakayofanyika Oktoba 5  mwaka huu.