Skip to main content

Posts

Showing posts from July 14, 2016

MAGAZETINI LEO IJUMAA TZ NA NJE

TANZANIA KENYA UK

Serikali yaipongeza SBL kwa uhifadhi wa mazingira

Naibu waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira Mh. Luhaga Mpina akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Bi Helene Weesie wakati wa ziara yake leo katika kiwanda cha bia cha Serengeti kilichopo Chang’ombe Dar es Salaam alipowasili kiwandani hapo kujionea namna kampuni hiyo inavyofanya shuguli zake kwa kuzingatia sera za utunzaji wa mazingira. Mheshimiwa Luhaga Mpina Naibu waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Bi Helene Weesie wakati wa ziara yake leo katika kiwanda cha bia cha Serengeti kilichopo Chang’ombe Dar es Salaam alipowasili kiwandani hapo kujionea namna kampuni hiyo inavyofanya shuguli zake kwa kuzingatia sera za utunzaji wa mazingira. Mheshimiwa Luhaga Mpina Naibu waziri ofisi ya makamu wa raisi mazingira (katikati) akiongozana na Mhe. Mbunge wa Temeke , Abdallah Mtolela (kushoto) na Meneja wa mradi wa kusafirisha maji taka wa kampuni ya bia ya Serengeti Bwana ...

YESTZ INTENDS TO IMPLEMENT THE PROJECT ON THE IMPACT OF SEXUAL HARASSMENT AND GBV IN HIGHER LEARNING INSTITUTIONS

YES Tanzania Executive Director Kenneth Simbaya (left) and his Financial Fundraising Coordination Lusajo Luvanda (extreme right) in a meeting with the SBC Tanzania Ltd  Mbeya  Plant General Manager Sanjar Munsh (centre)  over possible partnership in implementing a project dubbed ‘Zero Tolerance against Gender based violence and sexual harassment in tertiary learning institutions. (Photo by Friday Simbaya) MBEYA: Youth Education through Sports Tanzania (YES Tanzania) a youth led and youth focused NGO based in Mbeya region intends to start a project of raising awareness in the region (Mbeya) in higher learning institutions on the impact of sexual harassment and gender based violence (SGBV). According to the YES Tanzania Executive Director Kenneth Simbaya, YES Tanzania has approached SBC Tanzania Limited for possible partnership in implementing a project dubbed ‘Zero Tolerance against Gender based violence and sexual harassment in tertiar...