Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Theresia Mahongo (kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu kuhuisha rejesta ya wakazi katika mitaa leo ofisini kwake. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Na Friday Simbaya, Iringa Manispaa ya Iringa kupitia waziri mwenye dhamana na serikali za mitaa imeridhia kufutwa kwa vijiji na kubakiwa na mitaa, hivyo Manispaa itakuwa na mitaa 192 kwa ongezeko la mitaa 43 (mitaa ya zamani 149).
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.