Skip to main content

Posts

Showing posts from November 29, 2014

MAPITIO YA MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO JIONI

HOTUBA YA PINDA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE

  I:           UTANGULIZI                                      a)   Masuala ya jumla Mheshimiwa Spika, 1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.

KASHFA YA ESCROW: Muhongo, Werema watikiswa

    Na Muhibu Said Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, 'amemkaanga' Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, akipinga kitendo chake cha kuzuia zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizoporwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutozwa kodi kabla ya Desemba 31, mwaka huu.