Skip to main content

Posts

Showing posts from November 26, 2015

Osborne: I will continue to take 'difficult decisions' after tax credits U-turn

Chancellor makes clear he is not abandoning his overall approach to eliminate structural budget deficit two years before 2020 election George Osborne scraps tax credit cuts in U-turn Nicholas Watt , Patrick Wintour and Larry Elliott   George Osborne has said he will continue to take “difficult decisions” after he embarked on a spectacular U-turn on his planned tax credits cuts and to spare frontline policing from severe austerity. The chancellor said he would continue to cut day-to-day government spending and the welfare budget as he seeks to adopt an “inherently cautious approach” to deliver an overall budget surplus of £10.1bn by 2019-20. Speaking on BBC Radio 4’s Today programme, the chancellor said he had listened to critics after he abandoned his plans to cut £4.4bn from tax credits. Osborne declined to apologise or to admit that he had made a mistake after he outlined the cuts in his July budget as part of his plan to deliver £12bn in welfare savings. Osb...

LEAT WATOA MIZINGA 350 KWA VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI

Afisa Utumishi, Allan Mwela akikabidhi moja ya mizinga kwa mwanachama wa kikundi cha wafuga nyuki kutoka kijiji cha Utosi kilichoko wilaya ya Mufindi. Mkuu wa wilaya Richard Kasesela akikabidhi moja ya mizinga 175 kwa mfugaji nyuki kutoka Kiwele Baadhi ya wafugaji nyuki wakisikiliza hotuba ya mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela. (Picha na Denis Mlowe) NA DENIS MLOWE, MUFINDI TIMU ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID) umetoa jumla ya mizinga ya kufugia nyuki 350, kwa vikundi 16 vya wilaya ya Mufindi na Iringa vilivyoko katika mkoa wa Iringa. Akizungumza wakati wa ugawaji wa mizinga hiyo iliyofanyika katika kata ya Sadan wilayani Mufindi juzi, Afisa mradi wa LEAT kutoka Mufindi Jamal Juma alisema lengo la mradi huo ni kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kuongeza kipato cha jamii kwa njia ya kufuga nyuki na kupanda miti.   Alisema kuwa malengo mengine mahususi ya mradi huo ni kul...

The level of gender-based violence in Iringa Region is 54 percent

  Msanii kutoka Kikundi cha Sanaa cha Mundu Cultural Groups maarufu kwa jina la Mussa Manyoka akionyesha umaili wake wa kucheza na nyoka wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliyofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa jana. Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu (wa tatu kushoto) akipitia hotuba yake kabla ya kuisoma huku wageni wengine wakifuatilia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kikundi cha Sanaa cha Mundu Cultural Groups wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliyofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa jana. (Picha zote na Friday Simbaya) Iringa Region is one of the regions that have the highest concentration of cases of gender based violence (GBV), according to the study conducted by the Ministry of Health and Social Welfare and National Bureau of Statistics (NBS) in 2012. 25 November is the International Day for the Elimination o...

MKOA WA IRINGA UNA KIWANGO KIKUBWA CHA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA

    Msanii kutoka Kikundi cha Sanaa cha Mundu Cultural Groups maarufu kwa jina la Mussa Manyoka akionyesha umaili wake wa kucheza na nyoka wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliyofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa jana. Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu (wa tatu kushoto) akipitia hotuba yake kabla ya kuisoma huku wageni wengine wakifuatilia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kikundi cha Sanaa cha Mundu Cultural Groups wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliyofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa jana. (Picha zote na Friday Simbaya) Mkoa wa Iringa ni mojawapo ya mikoa ambayo ina kiwango kikubwa cha matukio ya ukatili wa kijinsia, kutokana na utafiti uliyofanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Shirika la Taifa la Takwimu (NBS) mwaka 2012. Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa (RAS), Wamoja Ayubu wak...