Skip to main content

Posts

Showing posts from February 19, 2016

MTOTO ALLAN STANLEY AMEPOTEA MKOANI MWANZA

SIMBA NA YANGA ZAKUTANA MARA 81, NANI ATASHEREHEKEA!

SIMBA NA YANGA ZAKUTANA MARA 81, NANI ATASHEREHEKEA! Na Daniel Mbega JUMAMOSI hii Februari 20, 2016 bingwa wa ‘kucheka na nyavu’ wa miaka yote Uingereza, James Peter ‘Jimmy’ Greaves, atakuwa anasherehekea miaka 76 ya kuzaliwa kwake, lakini kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kutakuwa na habari nyingine wakati mahasimu wakuu wa soka Tanzania, Yanga na Simba watakapokuwa wakivaana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Timu hizo zinapambana katika siku ya 51 ya mwaka, lakini ni baada ya siku ya 112 tangu zilipopambana mara ya mwisho – katika mchezo wa kwanza wa msimu wa 2015/2016 – Septemba 26, 2015 kwenye uwanja huo huo na Yanga wakaibuka washindi kwa mabao 2-0 wakilipa kisasi cha kufungwa ‘bao la kizembe’ na pekee Machi 8, mwaka huo lililopachikwa kimiani na Emmanuel Okwi. Achana na akina Alan Shearer, Wayne Rooney na Thierry Henry, mkongwe Greaves ndiye mchezaji pekee aliyefunga mabao mengi zaidi kwenye ligi ya juu (top flight) wakati huo ikiw...

MAGUGU MAJI YATISHIA HUDUMA ZA USAFIRI ENEO LA KAMANGA FERRY JIJINI MWANZA

Vita ya Kupambaza na Uwepo wa Magugu Maji katika Maeneo mbalimbali ya Ziwa Victoria, bado haijazaa matunda Chanya.  Suala la kupambana na magugu maji katika ziwa hilo bado ni changamoto, licha ya kuwepo kwa Miradi mbalimbali ikiwemo ile ya Uhifadhi wa Mazingira ya Bonde la Ziwa Victoria (LIVEMPT I & II) iliyolenga kuokoa uwepo wa Ziwa Victoria ambayo pia ililenga kupambana na magugu maji. Mara kadhaa huduma za usafirishaji katika Kivuko cha Busisi, Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, zimekuwa zikitatizwa na uwepo wa Magugu maji ambayo hutanda katika eneo la ferry la kivuko. Usumbufu kama huo unahofiwa huenda ukajitokeza katika eneo la Kamanga Ferry Jijini Mwanza, baada ya Magugu Maji kugonga hodi na kuanza kutanda katika eneo hilo. Kumbuka Magugu maji yanaweza kutambaa kutoka eneo moja hadi jingine kulingana na upepo unavyovuma na yanaweza kuleta athari ya usafirishaji majini ikiwa chombo cha usafiri (Meli/Ferry) kitanasa katika Magugu maji. Suala kubwa ni...

30 Days To Go; LADY JAYDEE #NaamkaTena (Video)

Fuatilia promo za Lady Jaydee kwa siku 30 mfululizo katika blog yako uipendayo. Tazama hii hapa chini tukianza kuhesabu zile siku 30 #NaamkaTena

PAMBAZUKA NA SIMBAYA BLOG KWA MAGAZETI YA LEOJUMAMOSI

MBUNGE MAFINGA MJINI AINGILIA KATI MVUTANO WA WAMACHNIGA NA HALIMASHAURI

Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akiwasikiliza wafanyabiasha wadogowadogo wafanyabiasha wadogowadogo wakiwasikiliza Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi NA FREDY MGUNDA,MAFINGA Mvutano mkali kati ya wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) mjini mafinga mkoani Iringa na uongozi wa halimashauri hiyo umeendelea kufukuta baada ya wafanyabiashara hao kugomea kuondoka katika eneo hilo wakidai maslai ya watu wachache ndio yanayowahamisha katika eneo hilo jambo lilopelekea mbunge kuingilia kati . Wakitoa kilio chao mbele ya mbunge wa mafinga mjini Cosato Chumi wafanyabiashara hao walisema kuwa wamekuwa wakinyanyaswa kwa muda mrefu na halimashauri hiyo kwa kuhamishwa hamishwa kila kuikicha na kupelekwa maeneo ambayo siyo rafiki kwa biashara zao . Mwenyekiti wa wafanyabiashara hao Glibet amoni alisema awali walikuwa wakifanyia biashara zao bembeni ya soko la mafinga Uwanja wa mashuja ) na badaye kuja kuhamishwa katika eneo hi...

UK officials concede PM may fail in original demand to underpin reforms

Downing Street has made plans for David Cameron to return to London immediately on Friday if the summit concludes with an agreement. Photograph: Kacper Pempel/Reuters Alberto Nardelli , Nicholas Watt , and Ian Traynor in Brussels A leaked copy of the final draft of the blueprint for Britain’s new terms of EU membership suggests that David Cameron heads to Brussels with no certainty over one of his key demands – and signs that differences are widening. The series of documents, which were circulated in Brussels early on Thursday morning, confirm that the European council president, Donald Tusk , has failed to win agreement among EU leaders to cement some of the reforms in a change to the Lisbon treaty. In the drafts, which were sent to EU capitals late on Wednesday and which have been seen by the Guardian, any mention of revising the treaty appears between square brackets – the device used in international negotiations to show there is no agreement on that issu...