Skip to main content

Posts

Showing posts from October 7, 2013

WAAJIRI AMBAO HAWAPELEKI MICHANGO YA WANACHAMA WATAWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA

Na Friday Simbaya Afisa Mwandamizi wa Shughuli (Senior Operations Officer) wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoa wa Ruvuma  Bw. Bernabers W. Ndunguru ametoa wito Baadhi ya wafanyakazi wa Abasia ya Peramiho wakipitia vipeperushi mbalimbali waktati semina  ilioendeshwa na maafisa kutoka Mfuko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)  mkoa wa Ruvuma.  Mwakilishi  wa  mwajiri  wa Abasia ya Peramho,  Bw. Kelvin Zenda akiwatambulisha maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)  mkoa wa Ruvuma kwa wanachama ambao ni wafanyakazi wa Abasia ya Peramiho wakati wa semina  katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Peramiho. Kutoka kulia kwake ni Bw. Barnabers W. Ndunguru (Senior Operations Officer NSSF Ruvuma), kushoto kwake  ni Bw. Mussa  Adam (Compliance Officer NSSR Songea) akifuatiwa na Bw. Michael William (Compliance Officer, Songea). (Picha na Friday Simbaya) kwa waajiri ambao hawapelek...