Skip to main content

Posts

Showing posts from March 5, 2016

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TAHADHARI JUU YA MWELEKEO WA HALI YA MVUA NCHINI

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA Dkt.Agness Kijazi (Katikati) akitoa taarifa ya Mwelekeo wa hali ya Mvua nchini kwa kipindi cha mwezi machi hadi mwezi Mei, 2016. Kushoto ni Samwel Mbuya ambae ni Meneja Kitengo Kikuu cha Habari TMA Dar es salaam na Kulia ni Dkt.Hamza Kabelwa ambae ni Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA. Mamla ka ya  Hali ya Hewa nchini TMA imewatahadharisha Wananchi pamoja na Taasisi mbalimbali ikiwemo za Uokoaji,  kujiandaa juu ya namna ya kukabiriana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana  na mvua za masika ambazo tayari zimeanza kunyesha hapa nchini. Mkurugenzi  wa mamlaka hiyo Dkt.Agness Kijazi alitoa tahadhari hiyo juzi Jijini Mwanza,  wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa Mvua za Masika  kwa Kipindi cha kuanzia mwezi Machi hadi mwezi Mei Mwaka huu. Dkt. Kijazi  alisema kuwa mvua za Masika zinatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza nay a pili  ya mwezi machi mwaka huu, katika maeneo ya Ukanda w...

George Osborne backs down on radical pension reform

Less than a fortnight before the budget, chancellor fears backlash from affluent voters against measures including cut in tax relief for higher earners George Osborne at the British Chambers of Commerce annual conference in London. Photograph: Lauren Hurley/PA Heather Stewart and Nadia Khomami George Osborne has been forced to abandon a package of pension reforms, including reducing tax relief for higher earners, amid growing concern that their introduction could have prompted a backlash from affluent voters. £4bn raid on pension savings likely, says former Osborne adviser Read more With less than a fortnight to go before the budget, Treasury insiders took the rare step on Friday of ruling out changes that had been mooted. The proposals had included the more radical option of creating a “pensions Isa” that would have eliminated pension tax relief for all those in work. Both options were set out in a consultation paper published last summer and ...

WASHINDI WA DROO YA KWANZA YA PROMOSHENI YA Azam/LigaBBVA WAPATIKANA

Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akizungumza wakati wa kutangaza washindi wawili wa droo ya kwanza wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi Pembeni kwake Ni afisa mawasiliano wa Azam Media , Irada Mtonga .Promosheni hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.  Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Mshindi wa droo ya kwanza wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi Mary saanane ambaye ni mke wa Pongezi Saanane wakati wa kutangaza washindi wawili wa droo ya kwanza wa Promosheni hii ,Promosheni hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itais...

UMOJA PRIMARY & NURSERY YAPATA MWENYEKITI MPYA

Victor Mwakila akiomba kuara kwa wajumbe Zephania Chaula akiomba kura Mandhari ya shule Aiton Haule akiomba kura. Shule ya Umoja Primary and Nursery School (English Medium) ya jijijini Mbeya imemchagua Victor Mwakila kwa mweneyekiti mpya wa shule katika kikao cha wazazi cha uchaguzi wa wajumbe na mwenyekiti leo.  Katika uchaguzi huo wa wajumbe na mwenyekiti wa kamati ya uongozi, Mwakila alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya baada ya kupata jumla ya kura 63 dhidi ya mpinzani wake Aiton Haule aliyepata kura 25. Aidha kikao hicho kimemchagua Zephania Chaula kuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa shule hiyo baada ya kumshinda mpinzani wake Aiton Haule kwa kura 65 dhidi ya 23.