Skip to main content

Posts

Showing posts from May 27, 2016

MAGAZETINI LEO JUMAMOSI

BRAC: FARMERS SHOULD PRACTICE CROP ROTATION IN ORDER TO INCREASE THEIR YIELDS

Vesper Kwavava, is small scale farmer from Ruaha Ward in Iringa Municipality testifying to his fellow farmers how he benefited from crop  rotation farming practice through the BRAC Maendeleo Tanzania LEAD  project at the Farmer’s Field Day’ at Ruaha Ward in Iringa  municipality, Iringa Region yesterday. (Photo; Friday Simbaya) . Farmers are at looking at the maize Sheller machine which is a means  to support farmers so that they do not incur costs of hiring machines  or labour too much manually at the Farmer’s Field Day’ at Ruaha Ward  in Iringa municipality, Iringa Region yesterday.  MEDIUM and Small-scale farmers have been urged to practice crop rotation because there a lot of benefits which comes along with this kind of farming, hence increased yields.  Iringa Muncipal Agriculture, Irrigation and Cooperative Officer (MAICO), Gerald Mwamuhimila told the farmers and agricultural stakeholders at the ‘...

ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJIRUSHA KUTOKA KWENYE MNARA WA SIMU JIJINI MWANZA

Kijana Mmoja (picha) Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya kujirusha kutoka katikati ya mnara wa simu. Na BMG Tukio hilo limetokea hii leo na kuvuta watu wengi waliofika kumshuhudia kijana huo ambae amepanda katika mnara huo tangu majira ya asubuhi na kukatalia mnarani hadi majira ya saa sita mchana. Mashuhuda wa tukio hilo ambao pia ni marafiki wa karibu na kijana huyo, wamesema huenda kijana huyo amefikia maamuzi hayo kutokana na ugumu wa maisha ambao amekuwa akiulalamikia huku wengine wakisema ni kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo gundi ambayo amekuwa akiyatumia. Akizungumza kwa niaba ya Kamanda wa jeshi la uokoaji na zima moto mkoani Mwanza, mmoja wa maafisa wa uokoaji Mussa Kaboni, amsetoa rai kwa makampuni yenye minara ya simu kuimarisha ulinzi katika minara hiyo ili kuondoa hatari inayoweza kujitokeza kutoka kwa raia wasio wema. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walionekana kuchukizwa na kitendo cha kijana huyo...

RAIS MAGUFULI ALIA NA RUSHWA KWA MAKANDARASI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakandarasi kote nchini kufanya kazi kwa kutanguliza maslai ya taifa, badala ya kutaka kupata faida kubwa kupita kiasi kutoka kwenye zabuni za miradi ya ujenzi wanayopata kutoka serikalini. Dkt. Magufuli amesema hayo leo tarehe 26 Mei, 2016 alipokuwa akifungua mkutano wa mashauriano wa bodi ya usajili wa wakandarasi kwa mwaka 2016 unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam. Rais Magufuli amesema serikali yake ipo tayari kuwapa kipaumbele wakandarasi wa Tanzania pale inapotangaza zabuni za miradi ya ujenzi, lakini amewataka kujirekebisha kwa kupanga viwango vinavyostahili vya gharama za ujenzi wa miradi hiyo ambavyo serikali itaridhika. “Nawatolea mfano, idara ya mahakama imetangaza kujenga mahakama za mwanzo na za wilaya, kwenye bajeti wana shilingi bilioni 24, makadirio ya kitaalamu yanaonesha kila jengo lisizidi shilingi milioni 200, wakandarasi...

OFISI TAIFA YA TAKWIMU YASHIRIKIANA NA BENKI YA DUNIA KUTOA TAKWIMU SAHIHI

Pichani ni Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa KATIKA kuhakikisha takwimu zinazotole kwa wananchi zinakuwa na ubora wa kimataifa nakuweza kutumika katika nyanja mbalimbali za kukuza uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS)kwakushirikiana na Benki ya dunia imeanzisha mpango endelevu wa maendeleo wa mwaka 2030. Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa amesema kuwa mpango huo unalenga kuratibu viashiria 230 ambavyo vimeridhiwa na wakuu wa takwimu duniani katika mkutano wake wa 47ulifanyika Newyork Marekani ambapo amedai kuwa mpango huo ulalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania . ''MPANGO huu unakauli mbiu ya'' Leave no one BEHIND ''unalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ambapo mpango huu unalenga kuzalisha takwimu bora iliziweze kutumika katika nyanja za maendeleo ''Alisema Dk.Albina CHUWA . Amesema kuwa tasnia ya takwimu ...