Skip to main content

Posts

Showing posts from December 12, 2015

WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAKE WAFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA HOSPITALI ZA MWANANYAMALA NA AMANA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwasili katika Hospitali ya rufaa ya Amana iliyopo Ilala, Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza baada ya sherehe za kuapishwa.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog ). Na Rabi Hume Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala ikiwa ni masaa machache tangu kutoka kuapishwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Wizara hiyo. Mhe. Ummy aliwasili katika hospitali ya Mwananyamala, majira ya saa 8 mchana na kuanza kuzungumza na wananchi mbalimbali waliokuwa wamekaa eneo la hospitali hiyo kuhusu matatizo yanayowakabili pindi wanapofika hospitali hapo kupatiwa huduma ambao wengi wao walionekana kutoridhishwa na huduma wanazopatiwa wanazozihitaji. Mmoja wa wananchi ambao alielezea kwa masikitiko yaliyomkuta pindi alipofika hospitalini hapo ni, Bi....

WAZIRI UMMY MWALIMU NA NAIBU WAKE DK. KIGWANGALA WARIPOTI WIZARANI LEO

Gari la Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu likiwasili Makao Makuu ya wizara hiyo na kupokelewa kwa saluti mara tu baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika sherehe zilizofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog ). Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akipokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando mara tu baada ya kumalizika kwa tukio la kuapishwa. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando (kulia) kuelekea ofisini kwake. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake ...

Paris climate talks: delegates reach agreement on final draft text

After talks again stretched through the night, François Hollande and Ban Ki-moon are to unveil document on limiting climate change for formal adoption.   Ban Ki-moon and John Kerry at the Paris climate talks. Photograph: J Raa/Pacific Press/Barcroft Suzanne Goldenberg , Lenore Taylor , Adam Vaughan and John Vidal in Paris Negotiators in Paris are to present their final draft text on Saturday morning for a deal on limiting climate change after working through Friday night to thrash out remaining details. The French president, François Hollande, is due to join Ban Ki-moon at the landmark summit at 11.30am local time, when the text is expected to be published. The draft is predicted to be officially adopted in the afternoon. Sources said the final text was only settled on at 6.45am after negotiators and ministers worked through Wednesday, Thursday and Friday nights at Le Bourget in north-east Paris. Laurent Fabius – the French foreign minister who has...

WWF BOOSTS CHAMNDINDI VILLAGE WITH RENEWABLE ENERGY

Mkurugenzi Mtendaji wa TAGRODE, Zubery Mwachulla akisisitiza jambo wakati wa warsha ya kujadili mrejesho wa Baseline ya nishati mbadala kijiji cha mfano Chamndindi na uzinduzi wa mradi huo katika ukumbi wa maktaba ya mkoa wa Iringa. (Picha na Friday Simbaya ) Washiriki  wa warsha ya kujadili mrejesho wa Baseline ya nishati mbadala kijiji cha mfano Chamndindi na uzinduzi na wa mradi huo wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa maktaba ya mkoa wa Iringa muda mfupi baada ya kumalizika kwa warsha hiyo jana. (Picha na Friday Simbaya ) Mratibu wa Shirika la TAGRODE, Dickson Mwalubandu, akihamasisha jamii ya wafugaji wa kitongoji cah Kipanga katika Kijiji cha Chamndindi wilayani Iringa, mkoani Iringa kuhusu matumizi ya nishati mbadala juzi, ambapo aliambatana na Afisa Nishati Jadidifu kutoka WWF Tanzania, Philipina Shayo (mwenye miwani aliyeketi). (Picha Friday Simbaya) Afisa Nishati Mbadala wa WWF Tanzania, Philipina Shayo akisisitiza jambo wakati wa wars...

EDITH EMILY MUDOGO, DIWANI KATA YA NYEGEZI JIJINI MWANZA NI KAZI TU

Diwani wa Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Edith Emily Mudogo akiapa jana ili kuwatumikia wananchi wa Kata hiyo katika kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halmshauri ya Jiji la Mwanza. Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group (BMG) Mudogo ni miongoni mwa Madiwani wachapa kazi ambao wanaendana na Kauli Mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ya "HAPA KAZI TU" hii ikiwa ni kutokana na utendaji wake wa kazi uliotukuka. Kulia ni Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa Mwanza akisimamia zoezi la uapishaji Jijini Mwanza. Madiwani wa Jiji la Mwanza wakiapa kuwatumikia wananchi Baadhi ya Madiwani wa Jiji la Mwanza akiwemo diwani wa Kata ya Nyegezi (CCM) Edith Emily Mudogo. Diwani wa Kata ya Nyegezi (CCM) Edith Emily Mudogo baada ya kuapishwa jana. Yeye kwake ni Kazi Tu. Wananchi na wageni viongozi mbalimbali wakifuatilia kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halm...