Skip to main content

Posts

Showing posts from February 9, 2017

BARAZA LA VIONGOZI WA DINI LAUNGA MKONO JITIHADA ZA MAKONDA ...

Mwenyekiti wa Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum. Mwenyekiti wa Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu baraza hilo kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda za kupambana na wanaojihusisha na dawa za kulevya. Kulia ni Katibu wa Baraza hilo, Padre John Solomon. Baadhi ya viongozi wa dini (waliokaa), wakiwa kwenye mkutano huo. Wengine ni wanahabari. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale BARAZA la Viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Tanzania ambalo liko chini ya Tume ya kupambana na dawa za kulevya limeunga mkono jitihada zinazofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda za kupambana na watu mbalimbali wanaotumia dawa za kulevya. Katika ha...

LADY IN RED 2017 KUTIKISA JIJI LA DAR

Ni siku chache tu! zimesalia kuikamata Tarehe 11 mwizi huu 2017, kumbuka siku hiyo ni siku pendwa ya Wanamitindo wa hapa Tz, coz wanategemea kukutatishwa kwenye Big Fashion Show ambayo hufanyika kila mwaka yaani hapa naizungumzia “Lady In Red”.  Muandaaji wa show hiyo Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin, akizungmza na wabahabari Jana Tarehe 8/2/2017 huku akiwa ameambatana na wanamitindo wengine amesema kuwa,  “Kwanza Show hii ni yakipekee pia inafaida kubwa sana kwa upcoming Designers, Lady in red huwa inatoa kipaumbele kwa upcoming Designers kuweza kuonesha kazi zao jukwaani, hivyo mwaka huu 11/2/2017 mambo yatakuwa mazuri sana ndani ya King Solomoni Hall”.  Hivyo kwa wadau wote wapenzi wa mitindo mnaombwa kuhudhuria usiku huo ili sanaa ya mitindo iweze kukua zaidi Asante. Wanamitindo wakiwa kwenye Press ya Lady In Red 2017  Asya Idarous  ...

RC MTAKA AKABIDHI NG'OMBE KWA AJILI YA AROBAINI YA KIFO CHA MZEE KAYOMBO

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kijiji cha Misasi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo (kushoto) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Ng'ombe aiyetolewa na Rc Mtaka kwa ajili ya Arobaini ya Mzee Kayombo Mwenyekiti wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Chief Mrindoko Babu Mwidadi akisaini kitabu cha wageni ishara ya ushiriki wa asasi hiyo katika msiba wa Mzee Kayombo Mazungumzo yamenoga mara baada ya makabidhiano ya Ng'ombe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (katikati) na Mkewe wakifanya maombi katika kaburi la marehemu Mzee Kayombo, Kulia kwao ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Kayombo ambaye ni mjukuu wa Marehemu Mzee Kayombo Rc Antony Mtaka Mtaka Rc Mtaka akiwasalimu ndugu wa marehemu Mzee Kayombo mara baad...

RAS MKOA WA IRINGA AZITAKA KAMATI ZA SHULE KUSIMAMIA MAENDELEO YA SHULE

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu akizungumza na  wajumbe wa kamati za shule kutoka shule za serikali wakati akifunga mafunzo ya kuzijengea uwezo kamati za shule yafanyika kimkoa katika Kata ya Makungu, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu akifuatilia risala kutoka kaimu afisa elimu taaluma (msingi) wa wilaya ya mufindi, Onesmo Kikoti (hayupo pichani) kabla ya ku funga mafunzo ya kuzijengea uwezo kamati za shule yafanyika kimkoa katika Kata ya Makungu, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) Kaimu Ofisa Elimu Mkoa wa Iringa, Nasibu Mengele (kulia)   akitoa utambulisho kwa  wajumbe wa kamati za shule kutoka shule za serikali wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kuzijengea uwezo kamati hizo yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Makungu, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa jana. Kulia kwake ni  Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja  Ayubu, Afisa Elimu...

DC WASHUKIA VIJANA WANAOCHEZA KAMARI ‘KUBETI’

DC KASESELA Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amewata vijana nchini kuachana na tabia ya kucheza kamari yaani ‘kubeti’ kwa kutabiri mambo kadhaa. Hapa Tanzania mchezo maarufu ni soka, hivyo mashabiki wa mchezo huo utabiri mambo kadhaa katika mchezo husika, ikiwemo wafungaji wa magoli, idadi ya magoli kwenye mechi husika, magoli yakufungwa kipindi kipi cha mchezo na ukuisha matokeo yatakuwaje. Kasesela alisema kuwa vijana watakiwa kujishughulisha na shughuli za kiuchumi na kuachana mazoea kutengenza pesa kwa njia mikato kama kucheza kamari. Akizungumza wakati wa kufunga mashindano ya Kombe la J.Msofu na kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza na wa pili, Kasesela alizipongeza timu hizo kwa kucheza mchezo mzuri huku akiwataka wachezaji kucheza mpira kwa kuwa mpira ni ajira. Timu ya Itengulinyi FC iliyopo kwenye kata ya Maboga ilitwaa ubingwa baada yakuichakaza timu ya Kiponzelo FC kwa mabao 4-3 kwa mikwaju ya penalti kwenye mashindano ya kombe la Msofu Cup...