Skip to main content

Posts

Showing posts from July 10, 2018

RUAHA MARATHON 2018 SET FOR JULY 21 IN IRINGA

Iringa District Commissioner Richard Kasesela (centre) speaking yesterday during the briefing on commencement of the 5th Ruaha Marathon 2018 on 21st July, 2018 flanked by Ruaha Marathon Organizing Committee Coordinator Frank Mwaisumbe (to his  right hand side ). (Photo by Friday Simbaya) The Ruaha Marathon 2018 race to resume in Iringa on July 21 this year after it has not occurred for several years since its establishment.  Speaking during the press briefing yesterday, Ruaha marathon organizing committee Coordinator, Frank Mwaisumbe said that the aim of the race is to create awareness on the need to protect the Great Ruaha River from further drying up and also to promote the Southern Circuit as a tourist destination.  He said that the River Ruaha is life line for wildlife in Ruaha National Park and the community at large.  “Sports activities in most instances goes hand in hand with development matters that’s why we at the organ...

RC MASENZA: TATIZO LA WANAFUNZI HEWA SASA BASI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akimkabidhi kompyuta Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Jamhuri William kwa ajili ya kuboresha zoezi la uandaaji na uingizaji wa takwimu za elimumsingi kupitia mfumo wa Tehema wa basic education management information system (BEMIS), zilizotolewa na ofisi ya Rais-/Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia jana. (Picha na Friday Simbaya) Serikali katika kuboresha utoaji wa huduma ya elimu nchini imeaanza kutoa vifa vya tehema kwa ajili ya kuboresha zoezi la uandaji na uingizaji wa takwimu za elimumsingi kupitia mfumo wa BEMIS (basic education management system).  Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema hayo jana wakati wa kukabidhi vifaa vya tehema na samani kwa Mkuu wa Wilaya wa Mufindi Jamhuri William vilivyotolewa na Ofisi ya Rais-Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.  Alisema kuwa takwimu sahihi ni muhimu sana katika kuiwesha serikali kuweka mipango mbali...

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (Wa tatu kulia), akiwaelekeza jambo baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea mitambo ya Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa unaoendeshwa na TTCL Corporation. Mkugenzi Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waziri Kindamba (wa kwanza kushoto) akiwaelekeza jambo baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea sehemu ya mitambo ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano jijini Dar es Salaam inaoendeshwa na TTCL Corporation.  Mtaalamu wa mitambo ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inayosimamiwa na TTCL Corporation (kulia) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea mitambo ya Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa unaoendeshwa na TTCL Corporation. Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba, akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kamati hiyo ya Bunge. Mkugenzi Mk...