Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amekanusha uvumi unaoenea mkoani hapa kuwa amesimamishwa uanachama pamoja kuvuliwa nafasi zote za uongozi leo wakati wa mkutano na waandishi wa habari ofisi za Iringa Press Club (IPC ). UTANGULIZI Mtakumbuka kuwa tarehe 2/3/2015 kuna kauli ambayo ilitolewa na Katibu wa wilaya ya Mufindi Ndugu Mtaturu. Ambayo ilielekeza baadhi wanachama wetu, ikiwa ni pamoja na kufukuzwa uanachama kwa baadhi ya makada wetu. Akiwemo Shukuru Luhambati, Clara Shirima na Hosea Kaberege. Swala hili limeamusha malalamiko na mjadala miongoni mwa wanaCCM na wapenzi na wakereketwa wa CCM. Kila mtu akiwa na mtizamo wake kuhusu swala hili, ambalo pia kimepelekea kuamsha malumbano katika vyombo mbali mbali vya habari.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.