Skip to main content

Posts

Showing posts from February 3, 2016

MO DEWJI BLOG YAWANASA LIVE WAFANYAKAZI WA TAMBAZA WAKIOMBA RUSHWA

Agizo la serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo inatekelezwa. Hii imethibitika baada ya mwandishi wa Mo Dewji Blog kufumania tukio la vijana wa jiji wakidai rushwa wazi wazi bila woga kwa mwendesha pikipiki wa magurudumu watatu maarufu kama bajaji. Kachero wetu (jina limehifadhiwa) alifanikiwa kupata picha za wala rushwa pamoja na kunasa sauti za tukio lote. Baadhi ya wafanyakazi wa Tambaza wakiwa pembezoni ya barabara katika daraja la Salenda. Mmoja wa mfanyakazi wa Tambaza akisimamisha bajaji. Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000 Wafanyakazi wa Tambaza (walio na mashati ya rangi nyeupe) wakizungumza na dereva wa bajaji Sikiliza sauti iliyorekodiwa wakati wa tukio na mwandishi wa Mo Dewji Blog

Tigo yawapa wateja wake huduma ya WhatsApp bure

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa mbalimbali wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika jana Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam  Wafanyakazi wa Tigo na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakifurahia jambo wa uzinduzi wa huduma ya whatsapp bure kwa wateja wa tigo iliyofanyika jana katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam Hapa kila mgeni mualikwa akiwa busy na simu yake kwenye uzinduzi huo. Ni kama wanasema 'tumependeza sana ngoja tujipige picha' wakati wa uzinduzi wa huduma ya whatsapp bure kwa wateja wa tigo iliyofanyika jana katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam Wageni waaalikwa wakiwa katika maski za " Emojis " wakifurahia jambo kwenye uzinduzi huduma ya whatsapp bure kwa wateja wa tigo iliyofanyika jana katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam Hapa ni furaha tupu kwa wanahabari. ...

WAZIRI UMMY AWAGEUKIA VIONGOZI NA KAZI YA KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU

Viongozi wote kuanzia ngazi ya vijiji hadi mkoa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu hadi kufikia Machi, 30 mwaka huu. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na kikosi kazi cha udhibiti wa ugonjwa wa kipindupindu, kulia nina Kaimu Mganga Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dkt.Nassoro Mzee. Wito huo umetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati alipokutana na kikosi kazi cha cha udhibiti wa kipindupindu mkoani Dodoma "Kipindupindu siyo suala ya afya peke yake, bali ni suala mtambuka hivyo sekta zote zinapaswa kujumuika katika kupambana na kutokomezwa ugonjwa huu. Ummy alisema kipindupindu bado ni changamoto na janga hivyo kila mkoa unatakiwa kuliwekea kipaumbele kwakuwa ugonjwa huo unaua kwa haraka hivyo viongozi wote washiriki kikamilifu na si kuwaachia waganga wakuu wa mikoa au wilaya. Aidha alisema licha ya kuwa na sheria nd...

CFAO MOTORS YAFANYA ONYESHO LA BIASHARA YA MAGARI AINA YA SUZUKI

Kampuni ya uuzaji magari ya CFAO imefanya onyesho la kuonyesha bidhaa mpya walizonazo katika jengo la PSPF Golden Jubilee Tower lililopo Posta jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Modewji Blog, Meneja Masoko wa CFAO Motors, Sheikha Said amesema sababu ya kampuni hiyo kufanya onyesho katika jengo hilo ni kuwaonyesha wateja wa kampuni hiyo bidhaa mpya walizonazo katika sehemu zao wanazouzia magari (showroom). Amebainisha kuwa, mbali na kuwaonyesha wateja lakini pia kuwaonyesha wafanyakazi na wananchi mbalimbali ambao walikuwa hawajui bidhaa zinazopatikana CFAO Motors au kwa wengine kuwa na shughuli nyingi hivyo kushindwa kufika katika 'showroom' zao na kupitia onyesho hilo wataweza kupata magari katika maeneo yao ya kazi. “Tupo hapa kwa hili kuwasogezea huduma watu wa aina mbalimbali na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali waone bidhaa tulizonazo,” alisema Bi. Said. Nae Afisa Mauzo wa Suzuki, David Kritsos alisema kupitia onyesho hilo wananchi na wafanyakazi wa ofi...

Zika Virus and Pregnancy: What You Need to Know Now

Zika virus appears to be especially dangerous for pregnant women and their babies – and now experts say it’s likely to hit the U.S. What you need to know to protect yourself. Getty Images News of the Zika virus is frightening. Indeed, there are many uncertainties about the Zika virus during pregnancy, and the information is changing rapidly. But one of the most important things that you need to know as an expecting mom is if you live in the continental U.S., your odds of contracting the Zika virus right now are extremeley low. Here's what is known now about Zika, and what you can do to protect yourself and your baby. WHAT IS ZIKA VIRUS? The Zika virus is a usually mild disease that's transmitted through the bite of an infected mosquito. Most people fully recover from Zika virus without severe complications, and severe illness or deaths from Zika virus are extremely rare, says the CDC. But Zika virus can be dangerous for pregnant women and their babies. Expe...

Circumcision

Question: "I'm confused about whether to have my baby boy circumcised. Isn't this routine? What should I do?" Before you became pregnant, you probably never imagined you'd spend so much time pondering medical procedures on baby boy parts. You may not have even realized that the decision whether or not to keep your child’s foreskin intact was yours to make. But now you've got a son on the way, and — if you don’t have religious or cultural traditions guiding you (or a husband who insists that his son look just like him) — you’ve got what may be a very confusing decision ahead of you. Circumcision may be considered the oldest surgical procedure still performed, with roots dating back thousands of years. It started out as a religious ritual among Jews and later Muslims, as a sign of their covenant with God. In the late nineteenth century, circumcision became common practice in the United States.  The thought at the time was that a circumcised...

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

'