Mdhamini wa mashindano ya Kombe la J. Msofu, Jeremia Edward Msofu (wa pili kulia) akikabidhi vifaa vya michezo kwa mmoja ya timu zinazoshiriki mashindano hayo katika Kijiji cha Kiponzelo Kata ya Kiponzelo, Jimbo la Kalenga wilaya Iringa, mkoani Iringa jana, (Picha na Friday Simbaya) Timu ya Soka ya Kiponzelo ya Kijiji cha Kiponzelo, Kata ya Maboga, Jimbo la Kalenga wilayani Iringa imeibuka mshindi dhidi ya wapinzani wake Timu ya Soka ya Makongati ya Kijiji hicho kwa kuilaza magoli 3-0 kwenye pambano la ufunguzi ya Kombe la J.Msofu lililopigwa katika Uwanja wa michezo wa Shule ya Sekondari Kiponzelo jana. Mashindano ya Kombe hilo lililoandaliwa na Jeremia Edward Msofu ambaye pia ni mmliki wa kampuni ya mabasi ya ‘OTA HIGH CLASS’ kwa kushirikiana na chama cha mpira wilayani Iringa lilioanza rasmi tarehe 11 Desemba 2016. Timu ya Soka ya Kiponzelo wenyeji waliovalia jezi ya rangi nyeusi walijipatia goli la kwanza kupitia mshamb...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.