Skip to main content

Posts

Showing posts from April 21, 2014

MREJESHO KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Iringa mjini  mkoani Iringa na mjumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mch.  Peter Msigwa (Chadema) akibadilishana mawazo na wakazi wa Iringa mjini  leo mchana kuhusu kinachoendelea bungeni  mjini Dodoma. ( Picha na  Friday Simbaya)