Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Mkoa wa Iringa, William Kingazi akizungumza na walengwa wa malipo katika mpango wa unusuru kaya maskini Kijiji cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) KILOLO: Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imefanikiwa kutekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kuanzia zoezi la utambuzi, uandikishaji, uhakiki na malipo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Hayo yalisemwa na Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Kilolo, Grace Killo wakati wa mahojiano maalum na Nipashe ofisini kwake jana. Alisema kuwa jumla ya kaya maskini 6,464 zilitambuliwa na kujengewa uwezo katika vijiji 70 vilivyo kwenye mpango. Alisema kuwa ugawaji wa ruzuku katika vijiji 70 vilivyo kwenye mpango umesababisha kuongezeka kwa mzunguko wa fedha kwenye vijiji hivyo na kusababisha kukua kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi. Alisema kuwa baadhi ya kaya nufaika zimefa...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.